News and Updates

MZUMBE YAELEZA SIKU 365 ZA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN NA DHAMIRA YA DHATI YA MAGEUZI KATIKA SEKTA YA ELIMU

Chuo Kikuu Mzumbe ni Chuo Kikuu cha Umma nchini ambacho kilianzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Chuo Kikuu Mzumbe Na. 21 ya mwaka 2001. Sheria hiyo ilifutwa na Sheria ya Vyuo Vikuu Na. 7 ya mwaka 2005 ambayo ni sheria inayosimamia masuala yote yanayohusu Elimu… Read More

WAFANYAKAZI CHUO KIKUU MZUMBE WATOA FARAJA KWA WATOTO WALIOPO MAHABUSU YA UPANGA

WANAWAKE wafanyakazi Chuo Kikuu Mzumbe Ndaki ya Dar es Salaam wametoa msaada wa mahitaji muhimu kwa watoto waliopo mahabusu ya Watoto Upanga, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuwafariji watoto. Akizungumza wakati walipotembelea kituo hicho, Mkuu wa Kitengo… Read More

Watafiti Wapendekeza Sera, Sheria, Taratibu Zilinde Sekta Isiyo Rasmi

UTAFITI wa miaka minne uliofanywa na Chuo Kikuu Mzumbe kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Nairobi, Kenya na Roskilde cha nchini Denmark umependekeza kuwepo kwa sera na taratibu madhubuti zitakazopelekea sekta isiyo rasmi kupitia vyama vyao kufaidika na huduma… Read More

Address

Mzumbe University,
Dar es Salaam Campus College,
Upanga Area Plot No. 941/2 Olympio Street,
P.O.Box 20266, Dar es Salaam, Tanzania
General Line: +255 (0) 22 2152582,
Direct Line: +255 (0) 22 2152586,
Fax: +255 (0) 22 2152584/2150398,
Cell: +255 (0) 689 455 588,
Email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it..

About us

Social Connect